Disfruta de 1 año de Premium al 40% de dto ¡Lo quiero!

Podcast
ASTERIA CONNECTS
11
0
Asteria Connects is a podcast hosted by Asteria Mvungi, which shines a light on matters concerning Health (Mental Health and Nutrition) Socio-economic welfare and Spirituality.
Asteria Connects is a podcast hosted by Asteria Mvungi, which shines a light on matters concerning Health (Mental Health and Nutrition) Socio-economic welfare and Spirituality.
NILIPATA CORONA IN 2020, THIS IS MY STORY
Episode in
ASTERIA CONNECTS
April 2020, niliambukizwa virusi vya COVID-19. Leo nime amua ku share experience yangu, naamini itamsaidia mtu..Usiache ku share na family and friends. #AsteriaConnects. Follow us on Instagram @asteriaconnects
14:18
HII NI KWA WENYE TATIZO LA KUKOSA USINGIZI
Episode in
ASTERIA CONNECTS
Kwenye Episode ya Leo Nimeungana na Dr Ivetha Mussiba pamoja na Dr Sia Maleko ambao wamenisaidia kuelewa zaidi kuhusiana na swala la kukosa usingizi muda wa usiku, (Insomnia) Kuhusu visababishi, madhara, pamoja na tiba. #AsteriaConnects
36:38
HIVI VYAKULA VINACHANGAMSHA AKILI
Episode in
ASTERIA CONNECTS
Nimeungana na Haika Mremi (mtaalamu wa lishe ) ili kujifunza machache kuhusiana na Namna sahihi ya tunavyopaswa kula tukiwa kama vijana ambao tuna jukumu la kufikiria vizuri na kuwa wachangamfu kichwani. Niandikie maoni yako kuhusiana na mada ya Leo kupitia Instagram @asteriaconnects @asteriaofficialtz
34:30
HII TABIA INAONGEZA FURAHA
Episode in
ASTERIA CONNECTS
Tabia hii imethibitishwa na Vitabu vya dini, Sayansi na Saikolojia kuwa endapo itatumika inaweza kuwa chanzo cha kuongeza furaha kwenye maisha.
27:22
SELF LOVE /KUJIPENDA
Episode in
ASTERIA CONNECTS
Episode ya Leo tunazungumzia kuhusu KUJIPENDA, kujitambua, na Namna tunavyoweza kuyapa thamani maisha yetu kwa ujumla.
47:04
MAISHA NJE YA TZ (DIASPORA)
Episode in
ASTERIA CONNECTS
Ikiwa Una ndoto Za kuishi nje ya Nchi, episode ya Leo itakusaidia kufahamu mambo ya msingi ya kuzingatia na ili kufikia malengo yako. Usiache kushare hii Link na marafiki zako. -Aste
47:25
KUKABILIANA NA MAJUTO/ REGRETS
Episode in
ASTERIA CONNECTS
Tunakosea mara nyingi, ni Namna gani tunaweza kujisamehe ili tuweze kuendelea na maisha?
18:13
KUSAMEHE/FORGIVENESS
Episode in
ASTERIA CONNECTS
Kama binadamu, Tunakosea na kukosewa mara nyingi. Kwenye part ya kwanza Leo tunazungumzia juu ya Msamaha. Tunawezaje kusamehe tunapokosewa? Kuna umuhimu gani katika kusamehe? Share na marafiki na ndugu zako. Wote Tunahitaji kujua zaidi.
17:06
Today we’re talking about social Insecurities
Episode in
ASTERIA CONNECTS
Tunaishi kwenye ulimwengu ambao maisha/ mafanikio ya watu wengine yanaweza kuwa chanzo cha sisi kukosa furaha/ tumaini na Imani. Tunawezaje kuyachukulia mafanikio ya watu wengine kama motisha na sio tishio kwetu.
16:18
OWN YOUR LIFE- In SWAHILI& ENGLISH
Episode in
ASTERIA CONNECTS
Kuna vitu vingi tunavichukulia Poa bila kujua kwamba vina umuhimu sana kwenye maisha yetu. Ukisikiliza hapa utanielewa namaanisha nini. ❤️
03:54
00:34
You may also like View more
Cuentos para irse a Dormir
En estos cuentos tan especiales que hacemos tenemos a nuestra protagonista Lara, una niña que lleva desde los 2 añitos y medio compartiendo cuentos de todo tipo con vosotros.
Comenzamos con cuentos pero Lara va creciendo (ya tiene casi 7 añitos) y vamos incorporando cosas como lecturas o podcast y quien sabe que otras sorpresas tendremos
Updated
Cuentos encantados
Maravillosos cuentos que tus hijos querrán escuchar una y otra vez.
Cuentos tradicionales y nuevos cuentos creados por nosotras con los que tus peques alucinarán. Updated
BBVA Aprendemos Juntos
Aprendemos juntos es una iniciativa de BBVA donde se da voz a las personas que nos inspiran a construir una vida mejor. En este canal descubrirás los contenidos más útiles para afrontar tu día a día, animándonos a luchar por una sociedad más inclusiva y respetuosa con el planeta.
En BBVA queremos acompañarte y darte herramientas, experiencias y conocimientos para que cada uno de nosotros y nosotras tenga la oportunidad de vivir de la mejor forma posible.
Síguenos y no te pierdas nuestras entrevistas, ¡te esperamos!
Updated



